Exodus 30:2

2 aMadhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja,
Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.
na kimo cha dhiraa mbili,
Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90.
nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo.
Copyright information for SwhKC